Produktbild
Enock Maregesi

Nukuu za Nyakati Zetu

Buch

Kitabu cha Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu ni mkusanyiko wa nukuu za Enock Maregesi, kila nukuu kuu na maana yake, kila siku na nukuu yake kwa mwaka mzima. Ni mkusanyiko wa nukuu kuu 365 zenye kuleta hamasa na msukumo wa mafanikio katika maisha ya mtu.Lengo la kitabu hiki ni mtu kuwa na nukuu katika kila jambo katika kila hali katika kila kipengele cha maisha yake, kupata amani ya moyo na uhuru wa nafsi, kama msingi wa mafanikio, katika maendeleo ya maisha yake kwa ujumla wake. Ukitaka kujitambua katika maisha yako jijibu maswali yafuatayo: Wewe ni nani? Umetoka wapi? Kusudi la maisha yako ni nini hapa duniani? Kisha tengenez… Mehr

CHF 35.90

Preise inkl. MwSt. und Versandkosten (Portofrei ab CHF 40.00)

Versandfertig innerhalb 1-3 Werktagen

Produktdetails


Weitere Autoren: Roy, Mathieu
  • ISBN: 978-1-71679-898-6
  • EAN: 9781716798986
  • Produktnummer: 34751287
  • Verlag: Lulu.com
  • Sprache: Swahili
  • Erscheinungsjahr: 2020
  • Seitenangabe: 446 S.
  • Masse: H21.0 cm x B14.8 cm x D2.6 cm 608 g
  • Abbildungen: Paperback
  • Gewicht: 608

2 weitere Werke von Enock Maregesi:


Bewertungen


0 von 0 Bewertungen

Geben Sie eine Bewertung ab!

Teilen Sie Ihre Erfahrungen mit dem Produkt mit anderen Kunden.